Wakulima wanufaika na sekta ya chai katika Wilaya ya Pu'an, Kusini Magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 24, 2023
Wakulima wanufaika na sekta ya chai katika Wilaya ya Pu'an, Kusini Magharibi mwa China
Mfanyakazi akikausha majani ya chai katika Wilaya ya Pu'an, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Februari 23, 2023. Ikiwa ni mojawapo ya wilaya zinazozalisha chai huko Guizhou, Wilaya ya Pu'an sasa ina mashamba ya chai yenye eneo la ukubwa wa ekari 125,000 (takriban hekta 8,333.3). Zaidi ya wakulima 70,000 wenyeji wamefaidika na sekta ya chai. (Xinhua/Yang Wenbin)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha