Pilikapilika za kulima mashamba makubwa wakati wa majira ya mchipuko (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 28, 2023
Pilikapilika za kulima mashamba makubwa wakati wa majira ya mchipuko
Wafanyakazi wakishughulikia kutunza mboga kwenye banda lenye joto la teknolojia ya hali ya juu la upandaji wa mboga katika eneo la kilimo cha kisasa, katika kijiji cha mji wa Luzhou wa mkoa wa Sichuan, Tarehe 26, Februari.(Picha na Zhang Ruohan)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha