Pilikapilika za kulima mashamba makubwa wakati wa majira ya mchipuko

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 28, 2023
Pilikapilika za kulima mashamba makubwa wakati wa majira ya mchipuko
Wakulima wakishughulika na kusafisha figili zilizovunwa sasa hivi, kuzipanga, kuzipakia kwenye malori na kuzisafirisha kwenda mahali mbalimbali katika kituo cha upandaji wa figili cha wilaya ya Lianhua ya mji wa Pingxiang wa Mkoa wa Jiangxi, Tarehe 25, Februari. (Picha na Li Guidong)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha