Habari Picha: Mandhari ya Mji Mkongwe wa Zanzibar, Tanzania (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 01, 2023
Habari Picha: Mandhari ya Mji Mkongwe wa Zanzibar, Tanzania
Picha hii iliyopigwa Februari 26, 2023 ikionyesha Nyumba ya Maajabu (juu) na ukumbi wa wazi wa maonyesho kwenye eneo la Mji Mkongwe wa Zanzibar, Tanzania. (Xinhua/Dong Jianghui)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha