Maua ya Pu’er yanayochanua na kuonesha mandhari nzuri kama picha iliyochorwa mkoani Yunan (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 09, 2023
Maua ya Pu’er yanayochanua na kuonesha mandhari nzuri kama picha iliyochorwa mkoani Yunan

Hivi karibuni, kwenye bustani ya maua iliyoko Mji wa Pu’er wa Mkoa wa Yunnan wa China, maua zaidi ya laki 2 yenye rangi mbalimbali yamechanua pamoja, ambayo yameonekana kuwa mandhari nzuri kama picha iliyochorwa na kuvutia watu wengi kwenda huko kutembelea na kupiga picha.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha