

Lugha Nyingine
Maua ya Pu’er yanayochanua na kuonesha mandhari nzuri kama picha iliyochorwa mkoani Yunan (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 09, 2023
![]() |
Hivi karibuni, kwenye bustani ya maua iliyoko Mji wa Pu’er wa Mkoa wa Yunnan wa China, maua zaidi ya laki 2 yenye rangi mbalimbali yamechanua pamoja, ambayo yameonekana kuwa mandhari nzuri kama picha iliyochorwa na kuvutia watu wengi kwenda huko kutembelea na kupiga picha.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma