Wakulima huko Hangzhou waanza kuvuna majani ya chai ya Longjing kabla ya Siku ya Qingming (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 14, 2023
Wakulima huko Hangzhou waanza kuvuna majani ya chai ya Longjing kabla ya Siku ya Qingming
Wafanyakazi wakichuma majani ya chai ya Longjing kwenye shamba la chai katika Kijiji cha Longjing, huko Hangzhou, Mkoa wa Zhejiang nchini China, Machi 13, 2023. (Xinhua/Xu Yu)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha