

Lugha Nyingine
Sekta ya chai yawekewa mkazo katika Wilaya ya Yongchuan, Kusini Magharibi mwa China ili kuongeza mapato ya wakulima (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 23, 2023
![]() |
Watu wakionyesha ujuzi wa kuandaa chai kwenye eneo maalumu la viwanda vya chai katika Tarafa ya Yongrong ya Eneo la Yongchuan la Chongqing, China, Machi 22, 2023. (Xinhua/Tang Yi) |
Katika miaka ya hivi karibuni, Eneo la Yongchuan limekuwa likiweka mkazo katika kuendeleza sekta ya chai na kuifanya kuwa sekta yake kuu huku ikipata mafanikio thabiti katika kuanzisha misingi ya uzalishaji wa chai na kuhimiza mafungamano ya sekta ya chai na ile ya utalii ili kuongeza nafasi za ajira za wakazi wa vijijini na kuongeza mapato ya wakulima wa huko.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma