

Lugha Nyingine
Sekta ya chai yawekewa mkazo katika Wilaya ya Yongchuan, Kusini Magharibi mwa China ili kuongeza mapato ya wakulima
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 23, 2023
![]() |
Mkulima akichuma majani ya chai kwenye shamba la chai katika Tarafa ya Yongrong ya Eneo la Yongchuan, huko Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China, Machi 22, 2023. (Xinhua/Chu Jiayin) |
Katika miaka ya hivi karibuni, Eneo la Yongchuan limekuwa likiweka mkazo katika kuendeleza sekta ya chai na kuifanya kuwa sekta yake kuu huku ikipata mafanikio thabiti katika kuanzisha misingi ya uzalishaji wa chai na kuhimiza mafungamano ya sekta ya chai na ile ya utalii ili kuongeza nafasi za ajira za wakazi wa vijijini na kuongeza mapato ya wakulima wa huko.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma