

Lugha Nyingine
Mbwa wa polisi watumwa! Tazameni mazoezi ya kila siku ya "Timu ya Mbwa wa Polisi" (10)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 24, 2023
![]() |
Mbwa huyo akifanya mazoezi ya kutafuta mabomu. |
Siku hizi, kikosi kimoja cha askari polisi cha Xinjiang kilipanga mazoezi ya mbwa wa polisi kwa lengo la kuongeza uwezo wao wa jumla , kuimarisha uwezo wa ushirikiano wa mbwa hao na askari polisi na kuweka msingi wa kutekeleza kazi mbalimbali. Mazoezi hayo yakiwemo kutii amri , kuvuka vikwazo na kutafuta vitu.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma