Mbwa wa polisi watumwa! Tazameni mazoezi ya kila siku ya "Timu ya Mbwa wa Polisi"

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 24, 2023
Mbwa wa polisi watumwa! Tazameni mazoezi ya kila siku ya
Mbwa wa polisi akifanya mazoezi ya kupita duara ya moto.

Siku hizi, kikosi kimoja cha askari polisi cha Xinjiang kilipanga mazoezi ya mbwa wa polisi kwa lengo la kuongeza uwezo wao wa jumla , kuimarisha uwezo wa ushirikiano wa mbwa hao na askari polisi na kuweka msingi wa kutekeleza kazi mbalimbali. Mazoezi hayo yakiwemo kutii amri , kuvuka vikwazo na kutafuta vitu.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha