Mkoa wa Shaanxi wa China washuhudia zaidi ya safari 1,000 za treni za mizigo kutoka China hadi Ulaya tangu Mwaka 2023

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 24, 2023
Mkoa wa Shaanxi wa China washuhudia zaidi ya safari 1,000 za treni za mizigo kutoka China hadi Ulaya tangu Mwaka 2023
Treni ya mizigo inayotoa huduma kati ya China na Ulaya ikiondoka kwenye Bandari ya Kimataifa ya Xi'an huko Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, Kaskazini-Magharibi mwa China, Machi 23, 2023. Treni hiyo ya X8489, iliyokuwa imepakia magari na kuondoka Xi'an wa Mkoa wa Shaanxi, China kuelekea Mji wa Selyatino nchini Russia siku ya Alhamisi. Shaanxi imeshuhudia zaidi ya safari 1,000 za treni za mizigo kutoka China hadi Ulaya tangu Mwaka 2023 (Xinhua/Li Yibo)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha