

Lugha Nyingine
Magari yanayojiendesha yaanza majaribio ya kibiashara Guangzhou, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 28, 2023
Kundi la kwanza la magari yanayojiendesha ya Didi yameanza majaribio ya kujiendesha kibiashara Jumatatu iliyopita. Abiria wanaweza kuagiza magari kupitia programu ya Didi Robotaxi, kupata huduma ya gari linalojiendesha lenyewe, na kulipa kulingana na umbali halisi na muda wa matumizi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma