Magari yanayojiendesha yaanza majaribio ya kibiashara Guangzhou, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 28, 2023
Magari yanayojiendesha yaanza majaribio ya kibiashara Guangzhou, China
Vifaa mbalimbali vya kuhisi vimesakinishwa juu ya gari linalojiendesha lenyewe la Didi katika Eneo la Huadu la Mji wa Guangzhou, China, Machi 27, 2023. (Xinhua/Liu Dawei)

Kundi la kwanza la magari yanayojiendesha ya Didi yameanza majaribio ya kujiendesha kibiashara Jumatatu iliyopita. Abiria wanaweza kuagiza magari kupitia programu ya Didi Robotaxi, kupata huduma ya gari linalojiendesha lenyewe, na kulipa kulingana na umbali halisi na muda wa matumizi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha