Maonyesho ya Tatu ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yaanza huko Haikou, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 11, 2023
Maonyesho ya Tatu ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China yaanza huko Haikou, China
Mtembeleaji wa maonyesho akijaribu kifaa cha kufanya masaji ya macho kwenye Maonyesho ya Tatu ya Kimataifa ya Bidhaa za Matumizi ya China (CICPE) huko Haikou, mkoani Hainan, China, Tarehe 10 Aprili 2023. (Xinhua/Fan Yuqing)

Zaidi ya chapa 3,300 zenye ubora wa juu kutoka ndani na nje ya China zimekusanyika katika maonyesho hayo, yaliyoanza Jumatatu huko Haikou. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha