Katika Picha: Watu wakivuna matunda ya bluberi katika Kijiji cha Wengbao, Mkoa wa Guizhou wa China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 17, 2023
Katika Picha: Watu wakivuna matunda ya bluberi katika Kijiji cha Wengbao, Mkoa wa Guizhou wa China
Mwanamke akichuma bluberi kwenye shamba la bluberi lililoko Kijiji cha Wengbao, Kitongoji cha Majiang katika Mkoa wa Guizhou Kusini-Magharibi mwa China, Mei 16, 2023. (Xinhua/Yang Wenbin)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha