Katika Picha: Watu wakivuna matunda ya bluberi katika Kijiji cha Wengbao, Mkoa wa Guizhou wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 17, 2023
Katika Picha: Watu wakivuna matunda ya bluberi katika Kijiji cha Wengbao, Mkoa wa Guizhou wa China
Bluberi zikionekana pichani katika shamba la bluberi lililoko Kijiji cha Wengbao, Kitongoji cha Majiang katika Mkoa wa Guizhou Kusini-Magharibi mwa China, Mei 16, 2023. Zaidi ya ekari 80,000 (takriban hekta 5,333) za mashamba yenye kuotesha matunda ya bluberi yameingia msimu wa mavuno katika Eneo la Majiang. (Xinhua/Yang Wenbin)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha