Xi Jinping aongoza Mkutano wa Kwanza wa Viongozi Wakuu wa China na Nchi za Asia ya Kati na kutoa Hotuba Kuu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 20, 2023
Xi Jinping aongoza Mkutano wa Kwanza wa Viongozi Wakuu wa China na Nchi za Asia ya Kati na kutoa Hotuba Kuu
Rais Xi Jinping wa China akiongoza mkutano wa kwanza wa viongozi wakuu wa China na Nchi za Asia ya Kati huko Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, Kaskazini Magharibi mwa China na kutoa hotuba kuu yenye kichwa cha "Kuungana Mikono ili Kujenga Jumuiya ya China na Nchi za Asia ya Kati yenye Mustakabali wa Pamoja unaojumuisha Kusaidiana, Maendeleo ya Pamoja, Usalama wa Wote, na Urafiki kutoka Vizazi hadi Vizazi", Mei 19, 2023. (Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha