Marais wa China na DRC wafanya mazungumzo (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2023
Marais wa China na DRC wafanya mazungumzo
Mchana wa Tarehe 26, Mei, Rais Xi Jinping wa China alifanya mazungumzo na Rais Felix-Antoine Tshisekedi Tshilombo wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), ambaye alikuwa katika ziara ya kitaifa nchini China, kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha