Marais wa China na DRC wafanya mazungumzo

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2023
Marais wa China na DRC wafanya mazungumzo
Mchana wa Tarehe 26, Mei, Rais Xi Jinping wa China alifanya mazungumzo na Rais Felix-Antoine Tshisekedi Tshilombo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ambaye alikuwa katika ziara ya kitaifa nchini China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing. Kabla ya mazungumzo hayo, Rais Xi alifanya hafla ya kumkaribisha Rais Tshisekedi kwenye uwanja nje ya Jumba la Mikutano ya Umma la China.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha