China yaishinda Brazil katika Ligi ya Mataifa ya Mpira wa Wavu Mwaka 2023

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 01, 2023
China yaishinda Brazil katika Ligi ya Mataifa ya Mpira wa Wavu Mwaka 2023
Diao Linyu, Mchezaji wa Timu ya kitaifa ya China akipiga mpira kwenda timu pinzani wakati wa mchezo wa Ligi ya Mataifa ya Mpira wa Wavu Mwaka 2023 kati ya China na Brazil mjini Nagoya, Japan, Mei 31, 2023. (Xinhua/Zhang Xiaoyu)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha