Shughuli ya Maonyesho ya Vyombo vya Usafiri vya kutumia umeme vinavyotoa kaboni kidogo yafanyika Nairobi, Kenya (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 08, 2023
Shughuli ya Maonyesho ya Vyombo vya Usafiri vya kutumia umeme vinavyotoa kaboni kidogo yafanyika Nairobi, Kenya
Watu wakiendesha skuta zinazotumia nishati ya umeme kwenye shughuli ya Maonyesho ya Vyombo vya Usafiri vya kutumia umeme (E-mobility) vinavyotoa kaboni kidogo huko Nairobi, Kenya, Juni 7, 2023 (Xinhua/Han Xu)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha