Shughuli ya Maonyesho ya Vyombo vya Usafiri vya kutumia umeme vinavyotoa kaboni kidogo yafanyika Nairobi, Kenya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 08, 2023
Shughuli ya Maonyesho ya Vyombo vya Usafiri vya kutumia umeme vinavyotoa kaboni kidogo yafanyika Nairobi, Kenya
Mfanyakazi akijiandaa kuchaji baiskeli inayotumia nishati ya umeme kwenye shughuli ya Maonyesho ya Vyombo vya Usafiri vya kutumia umeme(E-mobility) vinavyotoa kaboni kidogo huko Nairobi, Kenya, Juni 7, 2023. Wakati wa mkutano wa pili unaoendelea wa Baraza la Umoja wa Mataifa la Makazi, shughuli ya Maonyesho ya Vyombo vya Usafiri vya Kidigitali (E-mobility) vinavyotoa kaboni kidogo ilifanyika katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Nairobi. (Xinhua/Han Xu)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha