Wanakijiji washereheka sikukuu ijayo ya Tamasha la Mashua ya Dragoni Zhejiang, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 19, 2023
Wanakijiji washereheka sikukuu ijayo ya Tamasha la Mashua ya Dragoni Zhejiang, China
Wanakijiji wakishiriki katika mbio za mashua za dragoni kusherehekea sikukuu ijayo ya Duanwu, mbio za mashua ni kama tamasha la kijadi la Wachina katika Kijiji cha Mindang kilichoko Kitongoji cha Hefu katika Mji Huzhou, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Juni 18, 2023. (Xinhua/Huang Zongzhi)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha