Wanakijiji washereheka sikukuu ijayo ya Tamasha la Mashua ya Dragoni Zhejiang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 19, 2023
Wanakijiji washereheka sikukuu ijayo ya Tamasha la Mashua ya Dragoni Zhejiang, China
Wanakijiji wakishiriki katika mbio za mashua za dragoni kusherehekea sikukuu ijayo ya jadi ya Duanwu katika Kijiji cha Mindang kilichoko Kitongoji cha Hefu katika Mji Huzhou, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Juni 18, 2023. Sikukuu ya Duanwu, ni sikukuu ya jadi nchini China na husherehekewa siku ya Tarehe 5 ya Mwezi wa 5 kila mwaka kwa kalenda ya kilimo ya China. (Xinhua/Huang Zongzhi)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha