

Lugha Nyingine
Wilaya ya Laishui ya Kaskazini mwa China yaimarisha kazi ya uokoaji baada ya kimbunga
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2023
![]() |
Picha hii inaonesha wafanyakazi wanaoendesha mitambo ya kukarabati daraja la Kijiji cha Shangzhuang la Mji wa Sanpo wa Wilaya ya Laishui, Kaskazini mwa Mkoa wa Hebei, China, Agosti 8, 2023. |
Wilaya ya Laishui iliyoathiriwa na Kimbunga Doksuri, hivi karibuni ilikumbwa na mvua kubwa na baadhi ya vijiji vilikumbwa na matatizo ya usafiri na mawasiliano. Hivi sasa mamlaka za mitaa zinarekebisha miundombinu iliyoharibiwa na mafuriko ili kurejesha maisha katika hali ya kawaida haraka iwezekanavyo. (Xinhua/Yang Shiyao)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma