Maisha yamerejea kawaida polepole huko Zhuozhou iliyokumbwa na mafuriko (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 11, 2023
Maisha yamerejea kawaida polepole huko Zhuozhou iliyokumbwa na mafuriko
Wanakijiji wakisafirisha vitu na vifaa vya kuviua vijidudu katika Mji Mdogo wa Diaowo wa Mji wa Zhuozhou, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Agosti 9, 2023. (Picha: Huduma ya Habari ya China/Han Bing)

Mji wa Zhuozhou imeanza kazi ya ukarabati baada ya Kimbunga Doksuri kusababisha mvua kubwa.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha