Maisha yamerejea kawaida polepole huko Zhuozhou iliyokumbwa na mafuriko

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 11, 2023
Maisha yamerejea kawaida polepole huko Zhuozhou iliyokumbwa na mafuriko
Muonekano kutoka angani wa Mji Mdogo wa Diaowo uliokumbwa na mafuriko huko Zhuozhou, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Agosti 9, 2023.(Picha na: China News Service/Han Bing)

Mji wa Zhuozhou imeanza kazi ya ukarabati baada ya Kimbunga Doksuri kusababisha mvua kubwa.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha