Muhula mpya wa masomo kwa shule za msingi na sekondari waanza Urumqi katika Mkoa wa Xinjiang, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 29, 2023
Muhula mpya wa masomo kwa shule za msingi na sekondari waanza Urumqi katika Mkoa wa Xinjiang, China
Wanafunzi wa darasa la nne wakisoma kwenye darasa la mafunzo kuhusu mawasiliano barabarani na usalama wa watu yaliyotolewa na ofisa wa polisi katika Shule ya Majaribio ya Chuo cha Ualimu cha Xinjiang huko Urumqi, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, Kaskazini-Magharibi mwa China Agosti 28, 2023. (Xinhua/Wang Fei)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha