Mafanikio Kumi ya uchumi wa China katika nusu ya kwanza ya Mwaka 2023 (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 30, 2023

Picha hii iliyopigwa kutoka angani Julai 22, 2023 ikionyesha mandhari ya Ziwa Nanhu huko Tangshan, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China. (Xinhua/Zhu Xudong)

Picha hii iliyopigwa kutoka angani Julai 22, 2023 ikionyesha mandhari ya Ziwa Nanhu huko Tangshan, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China. (Xinhua/Zhu Xudong)

Tatu: Maendeleo yasiyochafua mazingira yachukua nafasi kubwa zaidi

Katika nusu ya kwanza ya mwaka huu, kiwango cha jumla cha hewa safi nchini China kimedumishwa kwenye kiwango cha juu; matumizi ya nishati kwa kila kitengo katika Pato la Taifa yalipungua kwa asilimia 0.4 ikilinganishwa na wakati huo wa mwaka uliopita.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)