Mafanikio Kumi ya uchumi wa China katika nusu ya kwanza ya Mwaka 2023 (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 30, 2023

Watu wakinunua vitu kwenye supamaketi huko Nanjing, Mkoa wa Jiangsu, China, Aprili 11, 2023. (Picha na Su Yang/Xinhua)

Watu wakinunua vitu kwenye supamaketi huko Nanjing, Mkoa wa Jiangsu, China, Aprili 11, 2023. (Picha na Su Yang/Xinhua)

Nane: Kiwango cha bei za vitu vya watumiaji wa China (CPI) chapanda polepole kimsingi

Katika nusu ya kwanza ya mwaka huu kiwango cha bei za vitu vya watumiaji wa China (CPI) kilipanda kwa asilimia 0.7 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha