Sherehe ya mavuno yafanyika kwenye mashamba ya mpunga huko Xinglong, Mkoa wa Sichuan Kusini-Magharibi mwa China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 04, 2023
Sherehe ya mavuno yafanyika kwenye mashamba ya mpunga huko Xinglong, Mkoa wa Sichuan Kusini-Magharibi mwa China
Picha hii iliyopigwa tarehe 2 Septemba, 2023 ikionyesha watu wakila chakula cha asili cha kienyeji katika Kijiji cha Xinglong, Wilaya ya Yanbian, Mkoa wa Sichuan, Kusini-Magharibi mwa China. Sherehe ya mavuno imefanyika kwenye mashamba ya mpunga katika Kijiji cha Xinglong, Wilaya ya Yanbian, Mkoa wa Sichuan Kusini-Magharibi mwa China, ambapo wanakijiji na watalii wameshiriki katika mashindano ya mavuno ya mpunga, tamasha, soko, na karamu kubwa ya kwenye meza ndefu shambani. (Xinhua/Jiang Hongjing)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha