Sherehe ya mavuno yafanyika kwenye mashamba ya mpunga huko Xinglong, Mkoa wa Sichuan Kusini-Magharibi mwa China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 04, 2023
Sherehe ya mavuno yafanyika kwenye mashamba ya mpunga huko Xinglong, Mkoa wa Sichuan Kusini-Magharibi mwa China
Watangazaji wakitangaza bidhaa za kilimo za kienyeji kupitia matangazo ya moja kwa moja mtandaoni (livestreaming) katika Kijiji cha Xinglong, Wilaya ya Yanbian, Mkoa wa Sichuan, Kusini-Magharibi mwa China, tarehe 2 Septemba, 2023. Sherehe ya mavuno imefanyika kwenye mashamba ya mpunga hapa, ambapo wakazi na watalii wameshiriki katika mashindano ya mavuno ya mpunga, tamasha, soko, na karamu kubwa ya kwenye meza ndefu shambani. (Xinhua/Jiang Hongjing)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha