Kituo cha Data za Kidijitali za Delta nchini Botswana kinachojengwa na Kampuni ya China kukabidhiwa Oktoba (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 22, 2023
Kituo cha Data za Kidijitali za Delta nchini Botswana kinachojengwa na Kampuni ya China kukabidhiwa Oktoba
Mfanyakazi akitazama vifaa kwenye Kituo cha Data za Kidijitali za Delta huko Gaborone, Botswana, Septemba 11, 2023. (Xinhua/Li Yahui)

Mradi wa Kituo cha Data za Kidijitali za Delta (DDDC) uko katika Kituo cha Uvumbuzi cha Botswana huko Gaborone. Ukiwa umejengwa na Kampuni ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Uchumi na Ufundi ya Jiangxi China, Tawi la Botswana, mradi huo unajumuisha jengo la kituo cha data lenye ghorofa mbili na vifaa vya ziada. Mradi huo unatarajiwa kukabidhiwa kwa Shirika la Mkongo wa Intaneti la Botswana (BoFiNet) Oktoba 2023.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha