

Lugha Nyingine
Mapambo ya maua yapamba Mji wa Beijing kwa ajili ya Sikukuu ya Mbalamwezi ya Jadi ya China na Siku ya Taifa la China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2023
![]() |
Mtu akipiga picha za mapambo ya maua katika eneo la Xidan hapa Beijing, Mji Mkuu wa China, Septemba 25, 2023. (Xinhua/Zhang Chenlin) |
BEIJING – Huku Sikukuu ya Mbalamwezi ya Jadi ya China na Siku ya Taifa la China vikikaribia, kikapu cha maua chenye urefu wa mita 18 katika Uwanja wa Tian'anmen na mapambo mengine ya maua pembezoni mwa Barabara ya Chang'an yameonekana kwa mara ya kwanza hapa Beijing, Mji Mkuu wa China na kuvutia watu wengi kutembelea na kupiga picha.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma