Mapambo ya maua yapamba Mji wa Beijing kwa ajili ya Sikukuu ya Mbalamwezi ya Jadi ya China na Siku ya Taifa la China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2023
Mapambo ya maua yapamba Mji wa Beijing kwa ajili ya Sikukuu ya Mbalamwezi ya Jadi ya China na Siku ya Taifa la China
Picha hii iliyopigwa Septemba 25, 2023 ikionyesha mapambo ya maua katika Mtaa wa Jianguomen hapa Beijing, Mji Mkuu wa China. (Xinhua/Ren Chao)

BEIJING – Huku Sikukuu ya Mbalamwezi ya Jadi ya China na Siku ya Taifa la China vikikaribia, kikapu cha maua chenye urefu wa mita 18 katika Uwanja wa Tian'anmen na mapambo mengine ya maua pembezoni mwa Barabara ya Chang'an yameonekana kwa mara ya kwanza hapa Beijing, Mji Mkuu wa China na kuvutia watu wengi kutembelea na kupiga picha.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha