Shughuli mbalimbali za kiutamaduni na kijadi zafanyika Anhui, China kusherehekea Sikukuu ya Kijadi ya Mbalamwezi (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 27, 2023
Shughuli mbalimbali za kiutamaduni na kijadi zafanyika Anhui, China kusherehekea Sikukuu ya Kijadi ya Mbalamwezi
Watoto kutoka Shule ya Chekechea ya Barabara ya Jinhe katika Wilaya Mpya ya Pwani ya Magharibi mwa Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China wakiwa wamebeba taa za kijadi zilizotengenezwa na wao wenyewe za Sikukuu ya Kijadi ya Mbalamwezi kwenda kwenye bustani, Septemba 26. (Xinhua/Wang Peike)

Sikukuu ya Kijadi ya Mbalamwezi nchini China imekaribia, na shughuli mbalimbali za kiutamaduni na kijadi zinafanyika kote nchini kusherehekea sikukuu hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha