Shughuli mbalimbali za kiutamaduni na kijadi zafanyika Anhui, China kusherehekea Sikukuu ya Kijadi ya Mbalamwezi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 27, 2023
Shughuli mbalimbali za kiutamaduni na kijadi zafanyika Anhui, China kusherehekea Sikukuu ya Kijadi ya Mbalamwezi
Watu wakishiriki mchezo wa kukisia mafumbo ya taa za kijadi za China kwenye Jumuiya ya Makazi ya Tanchong iliyoko Kitongoji cha Shangpai katika Wilaya ya Fexi, Mkoa wa Anhui,Mashariki mwa China, Septemba 26. (Xinhua/Chen Jiale)

Sikukuu ya Kijadi ya Mbalamwezi nchini China imekaribia, na shughuli mbalimbali za kiutamaduni na kijadi zinafanyika kote nchini kusherehekea sikukuu hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha