

Lugha Nyingine
Pilikapilika za kusafiri zashuhudiwa kote China katika siku ya mwisho ya likizo (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 07, 2023
![]() |
Wasafiri wakitembea kutoka nje ya lango kwenye Stesheni ya Reli ya Jiaxing huko Jiaxing, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Oktoba 6, 2023. (Picha na Jin Peng/Xinhua) |
Siku ya Ijumaa Oktoba 6, ilikuwa ni siku ya mwisho ya likizo ya Sikukuu ya Kijadi ya Mbalamwezi na Siku ya Taifa la China, ambapo pilikapilika za watu wengi kusafiri kwa ajili ya kurudi nyumbani na katika maeneo ya kazi zimeshuhudiwa kote nchini China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma