Pilikapilika za kusafiri zashuhudiwa kote China katika siku ya mwisho ya likizo (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 07, 2023
Pilikapilika za kusafiri zashuhudiwa kote China katika siku ya mwisho ya likizo
Wasafiri wakitembea kuelekea geti la kutoka nje katika Stesheni ya Reli ya Shanghai huko Shanghai, Mashariki mwa China, Oktoba 6, 2023. (Xinhua/Ding Ting)

Siku ya Ijumaa Oktoba 6, ilikuwa ni siku ya mwisho ya likizo ya Sikukuu ya Kijadi ya Mbalamwezi na Siku ya Taifa la China, ambapo pilikapilika za watu wengi kusafiri kwa ajili ya kurudi nyumbani na katika maeneo ya kazi zimeshuhudiwa kote nchini China. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha