

Lugha Nyingine
Mji Mdogo wa maji wa Wuzhen Mkoani Zhejiang, China uko tayari kwa Mkutano wa Intaneti Duniani (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 07, 2023
![]() |
Mandhari ya kivutio utalii wa maji cha Xizha katika Mji mdogo wa Wuzhen, ambao pia unafahamika kama mji wa maji, Mkoani Zhejiang, Kusini-Magharibi mwa China. (Picha na Qian Chenfei/Chinanews) |
Mkutano wa Intaneti Duniani Mwaka 2023 utafanyika kuanzia Novemba 8 hadi 10 katika Mji Mdogo wa Wuzhen ambao pia unafahamika kama mji wa maji, Mkoani Zhejiang, Kusini-Magharibi mwa China. Huu ni mwaka wa kumi mfululizo kwa mkutano huu kufanyika.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma