Mji Mdogo wa maji wa Wuzhen Mkoani Zhejiang, China uko tayari kwa Mkutano wa Intaneti Duniani

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 07, 2023
Mji Mdogo wa maji wa Wuzhen Mkoani Zhejiang, China uko tayari kwa Mkutano wa Intaneti Duniani
Ubao kuhusu Mkutano wa Intaneti Duniani ukiwa katika kivutio cha Xizha kilichoko Mji Mdogo wa Wuzhen, Mkoani Zhejiang, Kusini-Magharibi mwa China. (Picha na Qian Chenfei/Chinanews)

Mkutano wa Intaneti Duniani Mwaka 2023 utafanyika kuanzia Novemba 8 hadi 10 katika Mji Mdogo wa Wuzhen ambao pia unafahamika kama mji wa maji, Mkoani Zhejiang, Kusini-Magharibi mwa China. Huu ni mwaka wa kumi mfululizo kwa mkutano huu kufanyika.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha