Maonyesho ya CIIE yatoa fursa za maendeleo na kuchangia magawio ya maendeleo (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2023
Maonyesho ya CIIE yatoa fursa za maendeleo na kuchangia magawio ya maendeleo
Mfanyabiashara akitambulisha ngoma ya Afrika siku ya tarehe 8, Novemba kwa watembeleaji wa banda la Mali la Maonyesho ya sita ya kimataifa wa Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yanayofikia tamati leo Novemba 10 huko Shanghai, China. (Picha na Meng Tao/Xinhua)

Ili kuchangia fursa za maendeleo na nchi nyingi zaidi, Maonyesho ya sita ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yametoa mabanda bila malipo, ufadhili na hatua zingine kwa kampuni karibu 100 kutoka nchi 30 zenye maendeleo madogo zaidi Duniani (LCDs), na kuendelea kuhamasisha bidhaa za kipekee za nchi hizo kuingia soko la China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha