Maonyesho ya CIIE yatoa fursa za maendeleo na kuchangia magawio ya maendeleo (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2023
Maonyesho ya CIIE yatoa fursa za maendeleo na kuchangia magawio ya maendeleo
Mtembeleaji akifahamishwa kuhusu bidhaa za zafarani siku ya tarehe 8, Novemba kwenye banda la Afghanistan la eneo la chakula na mazao ya kilimo la Maonyesho ya sita ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yanayofikia tamati leo Novemba 10 huko Shanghai, China. (Picha na Li Mengjiao /Xinhua)

Ili kuchangia fursa za maendeleo na nchi nyingi zaidi, Maonyesho ya sita ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yametoa mabanda bila malipo, ufadhili na hatua zingine kwa kampuni karibu 100 kutoka nchi 30 zenye maendeleo madogo zaidi Duniani (LCDs), na kuendelea kuhamasisha bidhaa za kipekee za nchi hizo kuingia soko la China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha