Maabara ya Kituo cha Afrika cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa iliyojengwa kwa msaada wa China yazinduliwa (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 13, 2023
Maabara ya Kituo cha Afrika cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa iliyojengwa kwa msaada wa China yazinduliwa
Tarehe 10, Novemba, wajumbe wa pande mbili China na Afrika walitembelea maabara ya Kituo cha Afrika cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa iliyojengwa na msaada wa China huko Addis Ababa, Ethiopia.

Hafla ya uzinduzi wa maabara ya Kituo cha Afrika cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa (Africa CDC) iliyojengwa kwa msaada wa China ilifanyika tarehe 10, Novemba kwenye Addis Ababa, Ethiopia. Wajumbe kutoka Umoja wa Afrika (AU), Kituo cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa cha Afrika, Ujumbe wa China katika Umoja wa Afrika, na wajumbe wa Kituo cha China cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa waliofanya ziara huko walishiriki kwenye hafla hiyo. (Picha ilipigwa na Michael Tewelde na kuchapishwa na Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha