Maabara ya Kituo cha Afrika cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa iliyojengwa kwa msaada wa China yazinduliwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 13, 2023
Maabara ya Kituo cha Afrika cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa iliyojengwa kwa msaada wa China yazinduliwa
Picha hii iliyopigwa tarehe 10, Novemba ikionesha maabara ya Kituo cha Afrika cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa iliyoko Addis Ababa, Ethiopia.

Hafla ya uzinduzi wa maabara ya Kituo cha Afrika cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa (Africa CDC) iliyojengwa kwa msaada wa China ilifanyika tarehe 10, Novemba kwenye Addis Ababa, Ethiopia. Wajumbe kutoka Umoja wa Afrika (AU), Kituo cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa cha Afrika, Ujumbe wa China katika Umoja wa Afrika, na wajumbe wa Kituo cha China cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa waliofanya ziara huko walishiriki kwenye hafla hiyo. (Picha ilipigwa na Michael Tewelde na kuchapishwa na Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha