Maonesho ya saba ya Kimataifa ya “Njia ya Hariri” yafunguliwa Xi’an, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 17, 2023
Maonesho ya saba ya Kimataifa ya “Njia ya Hariri” yafunguliwa Xi’an, China
Tarehe 16, Novemba, watazamaji wakitazama bidhaa za sanaa kwenye banda la Uzbekistan la Maonesho ya saba ya Kimataifa ya “Njia ya Hariri”.

Tarehe 16, Novemba, Maonesho ya saba ya Kimataifa ya “Njia ya Hariri” yalifunguliwa mjini Xi’an, Mkoa wa Shaanxi wa China. Wakati wa maonesho hayo, shughuli zaidi ya 20 za aina nne zikiwemo mikutano muhimu na mabaraza mbalimbali zitafanyika. (Picha zilipigwa na Shao Rui/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha