Lugha Nyingine
Maonesho ya saba ya Kimataifa ya “Njia ya Hariri” yafunguliwa Xi’an, China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 17, 2023
Tarehe 16, Novemba, watazamaji wakitembelea banda la mkoa wa Sichuan wa China kwenye Maonesho ya saba ya Kimataifa ya “Njia ya Hariri”. |
Tarehe 16, Novemba, Maonesho ya saba ya Kimataifa ya “Njia ya Hariri” yalifunguliwa mjini Xi’an, Mkoa wa Shaanxi wa China. Wakati wa maonesho hayo, shughuli zaidi ya 20 za aina nne zikiwemo mikutano muhimu na mabaraza mbalimbali zitafanyika. (Picha zilipigwa na Shao Rui/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma