

Lugha Nyingine
Barabara Kuu ya Guiyang-Jinsha-Gulin nchini China yafunguliwa rasmi kwa matumizi ya umma (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 24, 2023
Barabara Kuu ya Guiyang-Jinsha-Gulin, ambayo imepangwa kufunguliwa rasmi kwa matumizi ya umma siku ya Ijumaa wiki hii, itapunguza muda wa kusafiri kutoka Mji wa Guiyang hadi Wilaya ya Jinsha kwa nusu kutoka saa 2 hadi takriban saa 1.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma