Barabara Kuu ya Guiyang-Jinsha-Gulin nchini China yafunguliwa rasmi kwa matumizi ya umma (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 24, 2023
Barabara Kuu ya Guiyang-Jinsha-Gulin nchini China yafunguliwa rasmi kwa matumizi ya umma
Picha hii ya angani iliyopigwa Novemba 23, 2023 katika Mkoa wa Guizhou ikionyesha Daraja la Jinfeng la Mto Wujiang kwenye barabara kuu inayounganisha miji ya Guiyang na Jinsha katika Mkoa wa Guizhou na Mji wa Gulin katika Mkoa wa Sichuan, Kusini Magharibi mwa China. (Xinhua/Yang Wenbin)

Barabara Kuu ya Guiyang-Jinsha-Gulin, ambayo imepangwa kufunguliwa rasmi kwa matumizi ya umma siku ya Ijumaa wiki hii, itapunguza muda wa kusafiri kutoka Mji wa Guiyang hadi Wilaya ya Jinsha kwa nusu kutoka saa 2 hadi takriban saa 1.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha